Kutayarisha Njia

188/210

Maneno ya Mwokozi wetu, “Njoni kwangu, nami nitawa-

pumzisha,” ni dawa iliyoamriwa kwa ajili ya kuponya magonjwa ya mwilini, akilini na rohoni Ingawa wanadamu wamejiletea wenyewe taabu kwa matendo yao maovu, Mwokozi huwaangalia kwa nuruma. Kwake wanaweza kupata msaada. Atawafanyia makuu wale wanaomwamini. 7 KN 245.4